Posts

Showing posts from December 15, 2016

FUNGULIA MORNING STAR MNAMO SAA 12:00 JIONI

Image
MTAJI WA ELFU SABA 7,000/= UKUPE MAMILIONI Ni katika kipindi cha Ujasiriamali na Pr. Mwasomola leo kwenye mfululizo wa Mahubiri ya RUDI NYUMBANI UTABARIKIWA SANA; NUKUU YAKE YA JANA ........Eti Unakaa Dar Es Salaam huku huna pa kuishi chai unakula kipande cha mhogo na chai ya rangi mhogo wenyewe una chumvi nyngi chakula unakula saa 9 tena ugali na maharage eti unakula sema UNASOGEZA MAISHA unajua kula wewe?........................... ..........una laki moja tu mfukoni unabadili na njia hivi wewe una ona ni tajili kuwa na milioni 20 milioni 300 hapo sawa....... USIKOSE LE