Dalili za Ugonjwa wa Homa ya INI na Jinsi Unavyoambukizwa ( Ugonjwa huu ni hatari kuliko UKIMWI) Homa ya Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus). Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho. Watu takriban 1,000,000 wanapoteza maisha duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B). Ugonjwa huu kama haujatibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadaye Kifo. JINSI UNAVYOAMBUKIZWA: Katika maeneo hatari zaidi duniani, Virusi vya Hepatitis B (HBV) kwa kawaida husambazwa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa au kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine hususan nyakati za utotoni. Kama ilivyo kwa Ukimwi, Virusi vya Homa ya Ini pia huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, mate, jasho na mwingiliano wowote ule wa damu. Njia ...
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli ~*Tajirika na Tikiti*~ Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli..... *TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI* Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka. Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000. Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000. Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3. Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja. *Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.* *Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
Comments
Post a Comment