TAJIRIKA NDANI YA MIEZI MITATU 3
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli
~*Tajirika na Tikiti*~
Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....
*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*
Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka.
Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000.
Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000.
Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3.
Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja.
*Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.*
*Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
Comments
Post a Comment