TAJIRIKA NDANI YA MIEZI MITATU 3
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli ~*Tajirika na Tikiti*~ Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli..... *TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI* Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka. Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000. Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000. Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3. Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja. *Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.* *Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*